HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatano, 18 Aprili 2018

Mke mtarajiwa wa Alikiba huyu hapa...


- Amina Rikeshi ni mwanadada mrembo ambaye anatarajiwa kufunga pingu za maisha na mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania, Ali Kiba

- Picha zake ni ishara tosha kwamba Rikesh ni mrembo zaidi na Ali Kiba ni miongoni mwa wanamuziki waliobahatika kujaliwa wapenzi warembo

- Inasemekana Rikesh atahamia Tanzania punde atakapovikwa pete na Ali Kiba Alhamisi Aprili 19

Mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania Ali Kiba ni mmoja wa wanamuziki waliojaliwa na wapenzi warembo zaidi.

Ali Kiba kufanya harusi Alhamisi Aprili 19.Picha: Ali Kiba/Twitter

Kiba na Amina Rikesh wanatarajiwa kufanya harusi Alhamisi Aprili 19 katika ukumbu mmoja mtaani Kongowea eneo bunge la Nyali.

Habari zinazotufikia hapa TUKO.co.ke ni kwamba,gavana wa Mombasa Hassan Joho atakuwa miongoni mwa watu mashuhuri watakaohudhuria sherehe hiyo.

Amina Rikesh atarajia kufunga pingu za maisha na Ali Kiba: Picha: Amina Rikesh/Instagram

Habari za Kiba kufunga pingu za maisha zilidhibitishwa na kakake aliyekuwa akihojiwa na wanahabari wa gazeti moja nchini Tanzania.

Aidha, inasemekana Kiba amewajengea wazazi wa mpenzi wake nyumba ya kifahari ambayo wanatarajiwa kuhamia ndani kabla ya siku ya harusi.

Amina Rikesh

TUKO.co.ke iliweza kuzuru ukurasa wa Instagram wa Rikesh na kukusanya picha murwa ambazo zinaonyesha jinsi mwanadada huyo alivyorembeka.

Inasemekana ,Rikesh sio 'Celeb' na yeye hupenda kuweka maisha yake binafsi.

Inasemekana ,Rikesh sio 'Celeb' na yeye hupenda kuweka maisha yake binafsi.Picha: Amina Rikesh/Instagram

Habari za Kiba kufunga pingu za maisha zilidhibitishwa na kakake aliyekuwa akihojiwa na wanahabari wa gazeti moja nchini Tanzania.

Habari za Kiba kufunga pingu za maisha zilidhibitishwa na kakake aliyekuwa akihojiwa na wanahabari wa gazeti moja nchini Tanzania.

Picha za mrembo ambaye anatarajia kufunga pingu za maisha na Ali Kiba

Rikesh anatarajia kufunga pingu za maisha na Ali Kiba.Picha: amina Rikesh/Instagram