HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 9 Novemba 2017

BODI YA LIGI YAZIADHIBU KLABU ZA SIMBA NA YANGA

Bodi ya Ligi imeziadhibu klabu za Simba na Yanga kutokana na kila moja kubainika kutenda kosa tofauti tofauti.

      Klabu ya Simba imepigwa faini ya Shilingi 300,000 kwa kosa la kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji kama inavyoelekeza kanuni kwamba yalitakiwa kwenye vikao vyao vya awali.

    Gangs imepigwa faini ya Sh500,000 kwa kosa la mashabiki wao kurusha chupa uwanjani wakati wa mechi yao na Simba, adhabu hiyo imetolewa kwa mujibu kanuni ya 42.

      Simba na Yanga zilikutana kwenye mchezo wa ligi kuu Oktoba 28 na kutoka sare ya bao 1-1 mchezo ukipigwa katika dimba la uhuru