Majimaji imeshuka daraja rasmi baada ya matokeo ya ushindi wa mabao 3-1 iliyoyapata Ndanda FC dhidi ya Stand United. FT: Ndanda SC 3-1 St...
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 28 Mei 2018
Ijumaa, 25 Mei 2018
MO RASHID NAYE HUYOOO MSIMBAZI
katisha blog
Mei 25, 2018
KATIKA kuhakikisha wanaimarisha safu ya ushambuliaji kwa kujiongezea idadi kubwa ya mabao msimu ujao, uongozi wa Simba upo katika mchakato...
Jumanne, 22 Mei 2018
Mkurugenzi wa Singida United Festo Sanga amethibitisha kwamba baada ya msimu kumalizika kocha wao mkuu Hans van Pluijm ataachana na club h...
WACHEZAJI wawili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kiungo Cedrick Kabale na mshambuliaji Alain Mulumba wamewasili leo Dar e...
Jumatatu, 21 Mei 2018
Jana usiku Iniesta amecheza mechi yake ya mwisho akiwa na Barcelona baada ya miaka 22 akiwa na timu hiyo.
katisha blog
Mei 21, 2018
Katika mechi hiyo ambayo ilichezwa katika uwanja wa Camp Nou na kuhudhuriwa na mashabiki zaidi ya 90,000, Barca waliibuka na ushindi wa ba...
Good news: Kichuya afanya haya ..
katisha blog
Mei 21, 2018
Winga wa Klabu ya Simba Shiza Ramadhan Kichuya ameweka rekodi ya kutengeneza mabao 24 kati ya 61 yaliyofungwa na Klabu ya Simba msimu ulioma...
Jumamosi, 19 Mei 2018
Klabu ya Yanga na Donald Ngoma tayari wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba. Ngoma ambaye alikuwa amebakiwa na mkataba wa mwaka mmoja w...
Yanga kukipiga na Mwadui leo
katisha blog
Mei 19, 2018
Kikosi cha Yanga kipo ugenini mjini Shinyanga kucheza mechi yake ya kukamilisha ratiba dhidi ya Mwadui FC kwenye Uwanja wa CCM kambarage. ...
Ijumaa, 11 Mei 2018
JUMA MAHADHI HUYOO SIMBA - Bingwa
katisha blog
Mei 11, 2018
ZAITUNI KIBWANA NA JEREMIA ERNEST WINGA wa Yanga, Juma Mahadhi, anadaiwa kuwa njiani kutua Simba msimu ujao, baada ya kile kinachoelezwa ...
Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Wayne Rooney anatarajiwa kujiunga na timu ya DC United inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani kwa dau la ...
Alhamisi, 10 Mei 2018
#VPL 1. Aron Kalambo 2. Michael Ismail 3. Laurian Mpalile 4. Nurdin Chona 5. James Mwasote 6. Jumanne Elifadhili 7. Benjamini Asukile...
1. Benno Kakolanya 2. Juma Abdul 3. Emanuel Martin 4. Pato Ngonyani 5. Abdallah Shaibu 6. Maka Edward 7. Paul Godfrey 8. Thabani Kamu...
Jumanne, 8 Mei 2018
Kocha ashauri Yanga B imalizie Ligi Kuu
katisha blog
Mei 08, 2018
KOCHA mpya mtarajiwa wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameshauri uongozi kupeleka kikosi cha timu ...
Yanga kutumia kikosi B mech za ligi kuu
katisha blog
Mei 08, 2018
Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ameshauri uongozi kupeleka kikosi cha timu ya vijana, maarufu ka...
Timu sita hatihati kushuka daraja
katisha blog
Mei 08, 2018
Timu zilizokalia kuti kavu ni pamoja na Mbeya City, Kagera Sugar, Majimaji, Mbao FC, Ndanda na Njombe Mji. Dar es Salaam. Timu sita za zi...
Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanish...
Jumatatu, 7 Mei 2018
Singida United yaahidi kuiharibia Simba
katisha blog
Mei 07, 2018
Uongozi wa klabu ya Singida United kupitia Mkurungenzi wake, Festo Sanga, umetamba kuvunja rekodi ya Simba kutopoteza mechi hata moja msim...
Wolves warejea ligi kuu ya Uingereza
katisha blog
Mei 07, 2018
Klabu ya Wolves imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi (EFL CUP) baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Reading FC na kufanikiwa ku...
YANGA YATANGAZA NEEMA KWA WACHEZAJI WAKE.
katisha blog
Mei 07, 2018
Uongozi wa klabu ya @yangasc umethibitisha kuwa wanatarajia kumalizana na wachezaji wake wote wanaodai pesa zao mara timu hiyo itakapotua ...
Mhando amzimia kinoma Samatta
katisha blog
Mei 07, 2018
Mhando , ambaye anapambana na Chiasso yake kuhakikisha inapanda daraja na kushiriki msimu ujao Ligi Kuu Uswizi ni Mtanzania...