Breaking News:Boti ya Mv Julius Yazama Ziwa Victoria Watu 17 Waokolewa
Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna waliosahaulika majini.
Hizi ni taarifa za awali fuatilia Habari zetu kufahamu zaidi. Visit website