Nawatakia sikukuu njema ya Christmas na mwaka Mpya Wadau wangu wanguvu,Wana Makumira wote
Napenda kuwatakia sikuku njema Watanzania wenzangu na Wadau wangu wanguvu.Wazazi wangu, ndugu pamoja na marafiki popote mlipo bila kusahau wana Chuo wote wa chuo kikuu cha makumira.
Ujumbe: Mungu ni mwema ametulinda tangu January hadi leo December 24.
Mungu awabariki
By frolian katisha