Kikosi cha Simba Chatua Kagera
Simba waliondoka alfajiri kwa ndege huku ikiwa na wachezaji wake muhimu ambao jana waliiangamiza Singida United kwa mabao 4-0.
Simba ambao wanaongoza ligi hiyo inatarajiwa kucheza na Kagera Sugar Jumatatu ya wiki ijayo ya January 22 katika uwanja wa Kaitaba.