Mange Kimambi Amshukia Roma Mkatoliki..Amshangaa kwa Kukaa Kimya Sakata la Sugu Kuwekwa Ndani
From Mange @roma_zimbabwe ulivyopata matatizo Sugu alikuwa mmoja wa watu waliokuwa mstari wa mbele kukupigania, leo na yeye yamemfika ila naona umepiga kimya kama haupo.. Hata kwenda kumuona jela hujaenda Roma. .
.
Kwahiyo hata mimi siku yakinifika utapiga kimya??
.
.
Inabidi uelewe kelele za watu ambazo zilikuwa none stop from the moment umetekwa ndio zilikuokoa, kwani waliokuwa wanakupigania walikuwa hawaogopi??kwani wao ndio hawakuwa na watoto wadogo na familia? Mbona wali-risk kila kitu kwa ajili yako? Kila mtu akisema anaogopa hivi tutafika wapi? Taifa zima tukisema tunaogopa itakuwaje?
.
.
My dear watu walifanya movement kwa ajili yako. Sugu alilipuka mnoooo kwa ajili yako sababu ni msanii mwenzie. Wewe leo hata kwenda kumjulia hali jela hujaenda Roma. Watu walijitoa sana Roma kwa ajili yako, Leo watu hao waliokuwa mstari wa mbele kukupigania wanapata matatizo alafu wewe unaendelea na maisha yako kama hakuna kilichotokea???Dah! Umenishangaza mnoooo Roma.......