Dr Shoo Cup KUCHEZWA LEO 26/01/2018.TIMU YA EDU VS LLB KUTAFUTA NANI MBABE
Mashindano haya yamekua kiunganishi kikubwa kwa wanachua chuoni makumira kwani wanafunzi wote huweza kukutana kama sehemu ya kukuza uhusiano bora.
KUTOKA TUMAIN UNIVERSITY MAKUMIRA Arusha.
Final za Dr SHOO cup
Leo kombe la Dr Shoo litatamatika chuoni Tumaini makumira,Zikishuhudiwa miamba miwili ya soka ikuchuana ED3 VS LLB sa 9:00pm
Mechi zilizochezwa jana25/01/2018
Theology Vs Second year sa 10:00
Matokeo yalikua2-1 Edu II wakiibuka ms Hindi Wa tatu.
Mashindano haya yamekua kiunganishi kikubwa kwa wanachua chuoni makumira kwani wanafunzi wote huweza kukutana kama sehemu ya kukuza uhusiano bora.
Pia za wadi nono zitatolewa na mgeni rasmi kwa washindi wa kila mchezo
Wito kwa wadau wasoka na vilabu mbalimbali kutoka mkoa wa Arusha kukaribia kushuhudia vipaji kwa Mendeleo ya soka la Tanzania kwa wachezaji wandani,
By Frolian katisha.