HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Aliyejiuzulu udiwani Chadema, avuliwa uanachama


Katibu wa Chadema, Kanda ya Iringa Mjini, Suzana Mgonokulima, ametangaza kumvua uanachama aliyekuwa diwani wa chama hicho, Kata ya Gangilonga, Dady Igogo. Igogo pia alikuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa. Katika taarifa iliyotolewa leo Aprili 28, imeelezwa kuwa Igogo amevuliwa uanachama kwa kuwa alikisaliti chama kwa kujivua nafasi ya unaibu meya na baadaye udiwani. […]