Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kukamata SMG 2, pistol 5, shotgun 1 na watuhumiwa 368 pamoja na risai 145 katika Oparesheni Maalum inayoendelea katika Ukanda wa Kusini unaojumuisha mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma.