HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Makonda sasa kuwapima wanaume saratani ya tezi dume nyumba kwa nyumba

Makonda sasa kuwapima wanaume saratani ya tezi dume nyumba kwa nyumba

Wakati chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wote wenye umri wa miaka 14 ikitarajiwa kuanza kutolewa Jumatatu wiki ijayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema ana mikakati ya kupita nyumba kwa nyumba ili kuwapima wanaume saratani tezi ya dume. Makonda ameyasema hayo leo Aprili 21 wakati akifungua rasmi […]