Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imekanusha taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuhusu kupanda kwa nauli za mabasi yaendayo mikoani kutokana na ongezeko la bei za mafuta.