Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi anaongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu msimu huu baada ya kufikisha mabao 18.
Mshambuliaji mwingine wa Simba John Bocco yuko nafasi ya pili akiwa amefunga mabao 13.
Nafasi ya tatu inashikwa na mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa aliyefunga mabao 12.
Hawa hapa vinara 10 bora;