Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amemweleza Mkuu wa Mkoa, Dk Binilith Mahenge kuwa jeshi hilo limefanya doria na misako ya wahalifu maeneo ya manispaa ya Dodoma na mji mdogo wa Kibaigwa wilayani Kongwa. Amesema, katika doria wamemkamata mfanyabiashara mkazi wa Nkuhungu Manispaa ya Dodoma, Josephat Komba (28) akiwa na pikipiki tano […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->