KABAKE VOCATIONAL TRAINING CENTRE
P.O.BOX 319 BUKOBA- MOBILE:0759125405/0754201310/0765498187
Email:kabalevt@gmail.com
Affiliated by VETA
Reg No. VETA/KGR/PR/2017/008/D.
Fomu ya kujiunga na mafunzo ya ufundi na ujasiliamali. Asante kwa maombi yako uliyotuletea hivi karibuni ukiwa unaomba kujiunga na kozi inayotajwa hapa chini.
Tunapenda kukutaarifu umekubaliwa kujiunga na kozi hii kwa muhula utakaoanza tarehe………………………….
KARO YA KILA KOZI ZINAZOFUNDISHWA HAPA CHUON (TRAINING FEES)
Kozi za muda mrefu (Long course)Mwaka ,mmoja(1) kuendelea.
· Electrical Installation(Umeme wa Tanesco)………………………………Tsh.540,000/=
·Kozi ya Hotel Management and outside Catering…………………….Tsh.500,000/=
Kozi ya Tourist guide and Operation…………………………………………sh.540,000/=
Secretarial course $ Computer Application programmers…………Tsh.420,000/
Masson and Brick laying (Fundi Ujenzi)………....Tsh.400,000/=
Kozi za muda mrefu (short Course) Miezi Mitatu (3) –Miezi sita (6).
· Plumbing and pipe fitting (Ufundi wa mabomba)……………………...Tsh.300,000/=
· Masomo ya saloon na upambaji wa maharusi……………………………Tsh.250,000/=
· Electrical Installation,(Umeme wa Tanesco)……………….Tsh.270,000/=
·
Kozi ya Hotel Msnagement and outside Catering………………………….Tsh.250,000/=
· Kozi ya Tourist guide and Operation……………………Tsh.270,000/=
· Secretarial Course $ Computer Application programmes……………..Tsh.210,000/=
· Masoon and Brik Laying (Fundi …..Tsh.200,000/=
Masomo ya Ujasiliamali: Utengenezaji wa bidhaa za viwanda ; Sabuni aina zote, Lotion,Shampoo,Dawa za nywele, dawa za viatu na vinywaji baridi, jiki, chaki na upambaji kama vile batiki, vikoi, mikoba na wallet na upambaji.
WASICHANA
Wanatakiwa kuvaa sketi rangi ya bluu , sharti rangi nyeupe lenye mikono mirefu.Sare zinapatikana chuoni kwa gharama ya Tsh 45,000/=. Mwanafunzi anatakiwa kuja na soksi nyeupe na viatu vyeusi.
WAVULANA
Wanatakiwa kuvaa suruali rangi ya bluu , sharti rangi nyeupe lenye mikono mirefu.Sare zinapatikana hapa chuo ni kwa gharama ya Tsh 45,00/=.Mwanafunzi anatakiwa kuja na soksi nyeupe na viatu vyeusi.
MAHITAJI MENGINE MUHIMU.
Ø Pratical mafunzo kwa vitendo katika kozi zote………………..Tsh.30,000/=
Ø Limu karatasi (1)A4………………………………………………………….Tsh.12,000/=
Ø Gharama za mtihani wa Taifa…………………………………………Tsh.30,000/=
Ø Study tour ……………………………………………………………………….Tsh.30,000/=
Ø Caution money (Pesa ya tahadhari)…………………………………Tsh.10,000/=
Ø T Shirt (1)………………………………………………………………………….Tsh.20,000/=
Ø Malighafi (somo la ujasiliamali)……………………………………..Tsh.20,000/=
HTELI NI BUREEEE
Chuo chetu kinatoa nafasi za Hostel kwa wale wanaotoka mbali, vilevile na kwa wanaopenda kuishi Hostel gharama ni bure. Mwanafunzi atapata kifungua kinywa (chai) bure.
NB:Chakulaunajitegemea
MAWASILIANO: 0683621253