Rais John Magufuli amezindua daraja la mto Kilombero ambalo kwa sasa linaitwa daraja la Magufuli. Akitangaza jina la daraja hilo leo Mei 5 wakati Rais akizindua, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema ametoa jina hilo kutokana na juhudi alizozifanya Rais Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi. “Mheshimiwa Rais kwa mamlaka niliyopewa […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->