Muimbaji Wa Injili Nchini Kenya Aliyedaiwa Kubeba Mimba Ya Harmonize Afunguka
Siku mbili hizi kuna stori zilienea Kwenye mitandao ya kijamii zilizosema kuwa Msanii wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize amempachika mimba mwanadada ambaye ni msanii wa nyimbo za Injili kutoka Kenya. Msanii huyo anayejulikana kama Veronica Wanja ‘Nicah The Queen’ amekataa tuhuma hizo na kudai kuwa hazina ukweli wowote, awali Nicah alikuwa katika mahusiano na […]