Nchi ya Burundi leo inapiga kura ya maoni kufanya marekebisho ya katiba ambayo yanaweza kumuweka Rais wa sasa Pierre Nkurunziza madarakani mpaka mwaka 2034 Kwa mujibu wa BBC Kura hiyo itapigwa ya ndiyo au hapana ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano mpaka saba katika awamu moja. Katiba ya sasa imeweka ukomo […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->