AJARI YA UA WAWILI SINGIDA Watu wawili wamefariki dunia wilayani Ikungi, Singida baada ya gari dogo kugongana na basi la abiria. Polisi wamesema kuna kila dalili kuwa dereva wa gari dogo alikuwa amelala.