Ndemla Awasili Salama Sweeden
Klabu ya soka ya Simba imethibitisha kuwa kiungo wake, Said Hamisi Juma Ndemla amewasili salama Sweden tayari kuanza kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini nchini humo.
“Said Ndemla amewasili salama nchini Sweden tayari kuanza majaribio yake katika klabu ya AFC Eskilstima inayoshiriki ligi kuu nchini humo.” Imesema klabu ya Simba.