Ujumbe wa Mange Baada ya Wema Kukimbia Chadema...Adai Amepoteza Imani Kwa Jamii
BY @mangekimambi_ - Not sure what to say, I only blame her for not being strong enough. Nyerere alikaa jela 25 years she could have taken 2 or 3 years za hiyo kesi yake.
Kimara nzima wamebomolewa nyumba na wanaishi sembuse yeye mwenye jina kubwa??? Na lipshine zako walizozipiga marufuku so what? Ungekomaa na msimamo wako serikali ingechoka kukuandama.
Wema you are weak! Very weak! Hujawaangusha waTZ tu, umejiangusha mwenyewe pia, your fans and everyone who cared for you.
Hivi kizazi hiki kina Winnie Mandela hakuna kabisa eehe? Nakuonea huruma mnoooo sababu umepoteza credibly yooooote kwenye jamii..... TOA MAONI YAKO HAPA