Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linawashikilia wanafunzi 9 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris na Daktari wa Hospitali ya Mission Nanyamba, wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwamo #WhatsApp na #Telegram kuhamasisha maandamano yasiyo na kibali Aprili 26, mwaka huu.