Waliofeli mtihani wa elimu ya sekondari nchini Kenya (waliopata alama E) wameunda umoja wao, kwa lengo la kuonesha kuwa, kufeli shule sio mwisho wa maisha.
Umoja huo unalengo la kuwatia moyo wale waliofeli na kuwaonesha fursa nyingine zitakazowasaidia wafanikiwe