HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatano, 11 Aprili 2018

KAULI YA MAJIZO BAADA YA MTOTO WAKE NA HAMISA,KUMPIGIA SIMU LULU AKIWA GEREZANI

KAULI YA MAJIZO BAADA YA MTOTO WAKE NA HAMISA,KUMPIGIA SIMU LULU AKIWA GEREZANI

Maskini Mtoto wa Mobeto! Ampigia Lulu Gerezani, Majizzo Aandika Maneno Mazito! Leo ni Birthday ya mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobeto aliyezaa na mfanyabiashara Majizzo, anayefahamika kwa jina Fantasy, ambapo amegusa mioyo ya watu wengi kwa jinsi ambavyo amemkumbuka muigizaji,

Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuamua kumpigia simu hewa na kuigiza kama anaongea nae huku akionyesha kutamani uwepo wa anti yake huyo ambaye kwa sasa amezuiliwa na kuta za gereza. Clip iliyosambaa mitandaoni inayomuonyesha mtoto huyo akiwa na baba yake, ambapo alichukua simu na kumpigia Lulu , imesikitisha mashabiki na kuwagusa kutokana na maneno aliyoandika Majizzo ambaye ndiye mpenzi wa Lulu.

Birthday girl ameshindwa kuvumilia imebidi aongee na Lulu hewa!.. we miss you so much angalia mpaka Fantasy anajiongelesha mwenyewe”