Msanii wa vichekesho bongo Ebitoke, ameweka wazi kuwa ahadi aliyomuahidi kumpa Ben Pol alishaitekeleza hivyo watu wasijiulize sana. Akiongea na EATV, Ebitoke amesema kuwa licha ya kwamba hivi sasa hayuko tena kwenye mahusiano na Ben Pol, lakini yeye ndiye alikuwa mwanaume wake wa kwanza na ndiye aliyempa zawadi ya usichana wake aliyomuahidi. “Kama ulimuahidi mtu […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->