HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 28 Aprili 2018

MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM


Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer akitangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani kata ya Naalarami na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM leo tarehe 28/04/2018.

 Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer  akiwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli na kutangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na chama cha CCM leo April 28, 2018