Mambo ni Motoo Kiba kuoa leo


Shamrashamra za sherehe ya maandalizi ya harusi ya AliKiba zinaendelea katika eneo la Kongowea ,Nyali County ya Mombasa Nyumbani kwa Mwanadada Amina mke mtarajiwa wa msanii maarufu Afrika mashariki tokea Tanzania @officialalikiba #ALIKIBA .
.
.
.
Hayo yamethibitishwa na mamake mzazi akiongea na PiliPili fm ndani ya kipindi cha Mwake mwake live