HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 30 Aprili 2018

Manara amtolea povu Yondan

Soka ni burudani na siyo vita. Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Haji Manara ametoa povu zito kutokana na kitendo cha beki wa Yanga Kevin Yondani kudaiwa kumtemea mate Asante Kwasi kwenye mchezo uliochezwa jana (Jumapili) katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Yondani ameonekana kwenye vipande vya video akimtemea mate Kwasi wakati alipokuwa akimzuia kwenye goli la Yanga wakisubiri kupigwa kwa mpira wa kona.

Kupitia mtandao wa Instagram, Manara ameonyesha kukerwa zaidi na tukio hilo kitendo ambacho amemuahidi mchezaji wao Kwasi watalifanyia kazi kuhakikisha mambo kama hayo hayajirudii tena.

Video Player

00:00

00:00

Huyu jamaa ni mshamba.mtu asiye na ustaarabu. bwege na hastahili kuachwa hv hv..ni tukio la hovyo zaid nchini kwa mwaka huu..nilikuwa namheshimu kama senior player ila kwa sasa namuona ni zaidi ya takataka..usela wa kihayawani..chuki hyo ya nn?nyie mmeshinda mara ngapi mbona hamjatemewa makohozi ?vtendo hv lazma vilaaniwe na kila mmoja…..kwasi nakuahidi hili jambo tutalisimamia kwa nguvu kubwa..na hongera kwa nidhamu wachezaji wetu…na lazma apimwe kama hana maradhi sugu ya kuambukiza huyu jamaa..na tunangoja kauli ya Yanga kwa ushenzi huu wa kipumbavu..samahani watu wangu kwa lugha kali..ila sina maneno laini ya kuelezea upumbav kama huu….bullshit!!!!