HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 10 Aprili 2018

Michezo ya Simba iliyobakia ligi kuu bara msimu huu

Michezo ya Simba iliyobakia ligi kuu  bara msimu huu
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo, Simba imebakisha michezo nane ya kuelekea kutwaa ubingwa. 
Simba inarejea uwanja wa Taifa kuikabili Mbeya City April 12 na April 16 ikitarajiwa kucheza na Tanzania Prisons jijini Dar es salaam.