HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 12 Aprili 2018

MKUTANO WA WANACHAMA WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA 

MKUTANO WA WANACHAMA WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI WAFANYIKA

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo katikati akifafanua baadhi ya maswala mbalimbali ya Mwenendo na Migogoro ndani ya  chama hicho kwa  Waandishi wa Habari  Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.kulia yake ni Kiongozi wa Ulinzi wa CUF Thney Juma na Kushoto ni   Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame .


M jumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo akizungumza na Waandishi wa Habari    kuhusiana na mwenendo na migogoro ndani ya Chama hicho Mkutano uliofanyika    katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.

Mratibu wa Mkutano wa CUF Ali Makame akitoa maelezo kuhusiana na Mkutano  na kumkaribisha Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini  CUF Mussa Haji Kombo kuzungumza na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Golden Tulip Malindi Mjini Unguja.