"Mapema leo Msanii Wa filamu mchini Monalia amekabidhiwa kabidhiwa bendera na Ticket ya ndege kutoka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya safari ya kwenda Accra nchini Ghana kwenye Tuzo za African Prestigious Awards zitakazofanyika Jumamosi hii.
Aidha Monalisa ametoa shukrani kwa Waziri Wa habari pamoja na Naibu Shoza.
" Shukran Waziri wangu Mh. Dokta Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri Bi.Juliana Shonza, Bodi ya Filamu, Basata na Watanzania Wote kwa Ujumla" - Monalisa