HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Msimamo wa ligi kuu ya vodacom


Baada ya mechi tatu za leo, Kagera Sugar wanapanda kwa nafasi mbili, huku Ruvu Shooting ikizidi kuikaribia Mtibwa Sugar. Simba wanaendelea kujikita kileleni kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya mpinzani wake Yanga, lakini Simba iko mbele kwa michezo miwili.


Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu