Msimu huu Simon msuva27 ametimiza mabao 20 katika mechi za Ligi Kuu Morocco, Kombe la Mfalme ( FA ), Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na mechi za timu ya Taifa, Taifa Stars.