HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 10 Aprili 2018

Historia mchina aliyemzalisha mdada Wa  Dar

Historia mchina aliyemzalisha mdada Wa  Dar


“Tulikutana Gongo la Mboto na baba mtoto huyu alikuwa anafanya kazi kampuni ya Hygen walikuwa wanajenga nyumba za wanajeshi sasa hizo nyumba zimekwisha, aliondoka hapa Tanzania baada ya kibali chake kuisha, wakati anaondoka nilikuwa na imani kuwa hata mimi atanikumbuka lakinfi mpaka sasa hivi hakuna mawasiliano wala jambo lolote linaloendelea, huyu mtoto saizi ana miaka miwili na miezi mitatu, kipindi napata ujauzito mpaka najifungua alikuwa ananitunza vizuri tu ila alipoondoka tu ndiyo sina mawasiliano naye ” Safina Mohamed
Una mshauri nini huyu dada Safina kwa hili.