NECTA YAONGEZA MDA USAJIRI WA MTIHANI KIDATO CHA NNE NA QT


Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaokusudia kufanya mtihani wa kidato cha nne na maarifa (CSEE & QT) 2018 kama watahiniwa wa kujitegemea kwamba, mwisho wa kipindi cha usajili wa malipo ya ada pamoja na faini (Tsh 65,000 kwa CSEE na Tsh 40,000 kwa QT), umeongezwa kutoka tarehe 31/03/2018 hadi tarehe 30/04/2018. Malipo yote yafanyike kupitia posta tu.
Hivyo, waombaji wote wahakikishe wanajisajili mapema kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya baraza la mitihani: www.necta.go.tz.
www.necta.go.tz
Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi
www.necta.go.tz
Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi
Imetolewa na:
Katibu Mtendaji
KWA HABARI ZAID DOWNLOAD KATISHA BLOG KWENYE SIMU YAKO
BONYEZA HAPO CHINI
