HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 9 Aprili 2018

OMMY DIMPOZ NA AMBER LULU NGOMA NZITO,KISA MANENO YA LULU OMMY ATOA KAULI

OMMY DIMPOZ NA AMBER LULU NGOMA NZITO,KISA MANENO YA LULU OMMY ATOA KAULI

Msanii Ommy Dimpoz amejibu kile anachodai Amber Lulu kuwa hana mvuto wala muonekano wa kiume. Ommy Dimpoz ameiambia Bongo5 kuwa hawezi kuzungumzia hilo kwa sasa na hajui stori hizo zimetoka wapi.

“Mimi sijui chochote na sijui hizo stori zimetoka wapi na zimeanzia wapi lakini kikubwa sisi kama wasanii unajua kila siku vitu ambavyo vinatuzunguka ni mambo ya mitandao, kwa hiyo in short no comment,” amesema. Wiki iliyopita katika mahojiano na Jonijoo kupitia Now You Know msanii Lulu aliulizwa kati ya Jux na Ommy Dimpoz anaweza kuolewa na nani endapo wakitokeza kwa pamoja.

Jux sawa, Dimpoz hajakaa kama mwanaume, Ommy Dimpoz hawezi kukaa au kushindana na Jux ni zero, hana mvuto wowote , hamna chochote kinachonivutia kutoka kwake,” amesema.