Rais wa TLS, Tundu Lissu (Mb) ametuma salamu za shukrani na kuwatakia TLS uchaguzi mwema wanapokutana Arusha kwa ajili ya kuchagua viongozi wapya.
Lissu anayepatiwa matibabu Ubelgiji alichaguliwa kuwa Rais wa TLS Machi 18, 2017.
Uongozi wa chama hicho hudumu kwa mwaka mmoja.
DOWNLOAD KATISHA BLOG KWENYE SIMU YAKO
BONYEZA HAPA