HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Ijumaa, 13 Aprili 2018

Ray Awapiga dongo na Nandy na Billi Nas

Ray Awapiga dongo na Nandy na Billi Nas


Muigizaji Staa wa Bongo Movie Ray Kigosi amewashauri waigizaji wenzake kupitia ukurasa wake wa instagram na kuwaomba pindi wanapokuwa katika mahusiano ya kimapenzi basi wawe wazi na kuyaweka mbele ya watu na kuacha uongo kwani sisi sote ni binadamu. 

Ray Kigosi ameandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Instagram……“WASANII WENZANGU TUJIFUNZE KUSEMA UKWELI TUNAPOKUWA KWENYE MAHUSIANO MAANA HATA SISI NI BINADAMU HATUZUIWI KUWA NA WENZA TUWAPENDAO” 

 “KUSEMA UONGO NI DHAMBI NA MFICHA MARADHI KIFO UMUUMBUA KWANI HAKUNA UONGO UNAOWEZA KUDUMU MILELE NI USHAURI TU UNAWEZA KUUCHUKUA AU KUNIACHIA USHAURI WANGU NIPUYANGE NAO” -Ray