HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 30 Aprili 2018

RC MAKONDA AANDIKA UJUMBEE HUU BAADA YA YANGA KUFUNGWA



Paul Makonda Ashindwa Kutokea Ugeni Rasmi Mechi ya Simba na Yanga
, Aipiga Kijembe Yanga

Paul Makonda amefunguka haya katika ukurasa wake wa Instagram:

“Asanteni sana Viongozi wangu Kwa kunipa Heshima ya kuwa Mgeni Rasmi. Kutokana na wingi wa majukumu nimeshindwa kuwa nanyi, naamini Amani na uwezo vitatawala ktk uwanja wetu japo Mvua imepunguza mashabiki hasa wale wa jangwani kutokana na ofc yao kuwa Baharini” Paul Makonda