HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 28 Aprili 2018

TANZIA : ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA


Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas kandoro amefariki dunia usiku huu wa Ijumaa Aprili 27,2018 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu. M/mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. AMIN

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde