HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 30 Aprili 2018

Tazama Picha Kutoka Katika Sherehe ya Ali Kiba na Abdu Kiba Usiku Huu


Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.(Jana)

Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.

Kuna watu maarufu wengi wamehudhuria kutoka Tanzania na Kenya pia.

Tuwatakie maisha mema vijana hawa