Mama mzazi wa msanii wa muziki wa bongo fleva, Judith Wambura maarufu kwa jina la sanaa, Lady Jaydee, Bi. Martha Mbibo, amefariki dunia alfajiri ya leo Aprili 26.
Bi. Mbibo amefariki akiwa nyumbani kwake eneo ya Jet jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitaendelea kukujia.