HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 22 Aprili 2018

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Ngorongoro Heroes imetinga hatua inayofuata katika kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON U20 2019

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Ngorongoro Heroes imetinga hatua inayofuata katika kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON U20 2019 baada ya kuiondosha DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5.

Timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo uliopigwa leo nchini Congo kama ulivyokuwa mchezo wa kwanza uliopigwa jijini Dar es salaam wiki mbili zilizopita.

Hongera Kabwili, Hongera Said Mussa, hongera vijana wa Stars kwa kufanikiwa kuwaondoa DR Congo kwenye ardhi yao.

Nayo timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 inayoshiriki michuano ya CECAFA Chalenji nchini Burundi imetinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuifumua Sudan mabao 6-0