HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 28 Aprili 2018

UBORA WA YANGA UKO HAPA - Bingwa


NA MWANDISHI WETU |

JOTO la pambano la watani wa jadi katika soka la Tanzania, Simba na Yanga litakalopigwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, linazidi kupanda huku mashabiki wa pande zote mbili wakitambiana, kila mmoja ukiamini timu yao itashinda.

Hata hivyo, wale wa Simba ndio wanaoonekana kujiamini zaidi kushinda kutokana na kutambia ubora wa wachezaji wao na kikosi kwa ujumla.

Miongoni mwa mambo yanayowapa jeuri Simba, ni kasi ya ufungaji mabao ya washambuliaji wao wawili, John Bocco na Emmanuel Okwi, lakini pia mabeki; Erasto Nyoni, Asante Kwasi, Shomari Kapombe na viungo kama Jonas Mkude, James Kotei, winga Shiza Kichuya na wengineo.

Ikumbukwe kuwa Simba ndio ….