Uongozi wa Yanga utakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari kesho Ijumaa, April 13 2018 Makao Makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Twiga na Jangwani.