HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatano, 18 Aprili 2018

WANAFUNZI WA KIKE VAENI MAGAUNI MANNE KWA MPANGILIO ILI MFIKISHE NDOTO ZENU - RC RUVUMA


WANAFUNZI WA KIKE VAENI MAGAUNI MANNE KWA MPANGILIO ILI MFIKISHE NDOTO ZENU - RC RUVUMA

Wanafunzi wakike mkoani Ruvuma wametakiwa kuzingatia masomo yao ipaswavyo kwa kufuata utaratibu wa kuvaa magauni manne ili aweze kufanikisha malengo ya ndoto zao. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME wakati wa tathimini ya elimu mkoa ambapo mwanafunzi wa kike anatakiwa kuvaa sare ya shule toka darasa la kwanza hadi chuo kikuu