HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 19 Aprili 2018

Wema Sepetu Atupia Post Yenye Utata Mtandaoni


Staa wa bongo movies Wema Sepetu amewaacha watu katika mshangao na kuchanganyikiwa baaada ya kuweka posti ya kusikitisha inayohusu mwanamke ambae alipata tatizo la kuharibika kwa mimba.
Watu wamekuwa wakijiuliza je post hiyo inamkumbusha mimba iliyoharika kipindi cha nyuma au ni mimba nyingine imeharibika tena.Watu wengi wameonekana kuguswa na jambo hilo na kusema kuwa Wema anapitia kipindi kigumu sana kwa sasa kutokana na hamu yake kubwa ya kutaka kuwa na mtoto lakini inashindikana.
Wema aliweka picha hiyo katika ukurasa wake wa instagram na kuandika “Story of my life”

INSTALL KATISHA BLOG KWENYE SIMU YAKO

INSTALL KATISHA BLOG KWENYE SIMU YAKO 
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD KATISHA BLOG APP IN GOOGLE PLAY STORE ...ANDIKA KATISHA ...SEARCH