Majimaji imeshuka daraja rasmi baada ya matokeo ya ushindi wa mabao 3-1 iliyoyapata Ndanda FC dhidi ya Stand United. FT: Ndanda SC 3-1 Stand United. FT: Simba SC 1-1 Majimaji FC.