Msanii Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya Muziki nchini England kwenye ukumbi wa Royal Angency uliopo jijini London. Tazam picha kadhaa namna tukio hilo lilivyokwenda