HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 31 Mei 2018

Hiki hapa kikosi cha yanga kilicho safiri Leo kwenda kenya

Yanga imeondoka leo kwenda nchini Kenya kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup.


Wachezaji 20 na viongozi nane wakiwemo wa benchi la Ufundi wameondoka pamoja na timu.

Hiki hapa kikosi

1. Youthe Rostand
2. Ramadhani Kabwili
3. Hassani Kessy
4. Baruani Akilimali
5. Haji Mwinyi
6. Pius Buswita
7. Abdallah Shaibu
8. Pato Ngonyani
9. Ibrahim Ajibu
10. Maka Edward 
11. Yohana Mkomola
12. Thabani Kamusoko 
13. Matheo Antony
14. Amisi Tambwe
15. Juma Mahadhi
16. Saidi Juma
17. Said Mussa
18. Papy Tshishimbi
19. Yussuf Mhilu
20. Raphael Daudi